REAL Madrid imeripotiwa kufungua milango ya kumpiga bei kiungo Eduardo Camavinga kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ...
MABOSI wa Liverpool wameshauriwa kufungua pochi kumsajili straika wa Newcastle United, Alexander Isak kwenda kuchukua mikoba ...
ARSENAL na Liverpool zinaweza kujikuta kwenye wiki moja matata itakayowafanya kuwa kwenye vita kali ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu England na ule wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
MASHABIKI wa Arsenal wanaweza kuwa kwenye presha kubwa baada ya kufahamu kuna uwezekano wa kukwaruzana na Real Madrid kwenye ...
Mabingwa hao mara 20 wa England walikosa wachezaji 12 wa kikosi cha kwanza katika mechi dhidi ya Tottenham Hotspur wikiendi ...
KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi amesema ana kazi kubwa ya kufanya katika michezo ya mzunguko huu wa pili, ...
WADAU tofauti wa michezo na tiba wametoa maoni juu ya kile wanachoamini ni suluhisho la kumaliza changamoto ya uwepo wa ...
LEBRON James alihitimisha usiku wa kihistoria juzi aliposhiriki katika mchezo wa Los Angeles Lakers dhidi ya Portland Trail Blazers ambao walishinda kwa pointi 110-102.
ZIKIWA zimesalia siku mbili ili kuchezwa Mzizima dabi, kocha wa Azam Rachid Taoussi ajitanua kifua mbele kwa Simba akisema kikosi chake hakina sababu za kufungwa na Wekundu wa Msimbazi.
WAKATI mashabiki wa KenGold wakisubiri kwa hamu kumuona uwanjani staa mpya wa timu hiyo, Bernard Morrison, nyota huyo bado ...
KUNA muda kwenye maisha unajiwekea mipango yako au kudhania sehemu fulani inawahusu watu wa aina tofauti na wewe kumbe haiko ...