Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga imefufua matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya usiku huu kushinda bao 1-0, dhidi ya Al Hilal, katika ...
Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye alidaiwa kutekwa leo nchini Kenya, amepatikana huku akiahidi kuzungumza zaidi kesho baada ya kutulia. Mwanaharakati, Maria Sarungi ambaye kwa sasa anaishi nchini ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, jana aliongoza wananchi na viongozi mbalimbali katika kuadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi ...
Sare ya bao 1-1 ambayo Simba imepata ugenini dhidi ya Onze Bravos ya Angola, imeihakikishia kutinga hatua ya robo fainali ya ...
Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye alidaiwa kutekwa leo nchini Kenya, amepatikana huku akiahidi kuzungumza zaidi kesho baada ...
Baada ya minyukano ya nguvu za hoja kwa takriban wiki mbili, uchaguzi wa viongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeanza kuwapokea vijana wa awamu ya pili wa mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) ambapo ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, jana aliongoza wananchi na viongozi mbalimbali katika kuadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi ...
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Fakii Lulandala ametoa agizo kuhakikisha wanafunzi wote waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza katika shule za sekondari wawe wameanza masomo ...
Mwanaharakati, Maria Sarungi ambaye kwa sasa anaishi nchini Kenya ameripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana leo nchini humo.
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Lino, anadaiwa kuchoma moto nyumba aliyopanga mpenzi wake, Ajentina Ngimbudzi ...
Moja ya mbinu za kujilinda dhidi ya wizi na utapeli unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni kutojibu maelekezo wala kutoa ...