Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi amesema Tanzania imebahatika kuongozwa na viongozi ...
Wakazi wa Kijiji cha Welela, Jimbo la Lupembe wilayani Njombe, wamemshuru Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge wa Jimbo hilo Edwin Swalle kupatiwa umeme na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (R ...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa ardhi nchini kubadilika kwa sababu wananchi wanawalalamikia kwa rushwa, ...
Mchekeshaji Said Said amesema picha aliyopiga na Rais Samia Suluhu Hassan imempatia michongo mingi ambayo hakutarajia.
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema maboresho ya Sera ya Ardhi ya Mwaka 1995, yatawezesha kufanyika mambo sita ikiwa ni pamoja ...
Prof Janabi na wenzake wanawania kuziba nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda hiyo, Dk. Faustine Ndugulile, waziri ...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo manane kwa wizara, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta), taasisi za ...
Ushirikiano kati ya sekta za umma na binafsi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya kitaifa yaupatikanaji wa nishati safi ...